Kimamuju

Kimamuju (pia Kiudai) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamamuju kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kimamuju imehesabiwa kuwa watu 60,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimamuju iko katika kundi la Kisulawesi-Kusini.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search